Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Siku kama ya leo mwaka 1963 Zanzibar ilipata Uhuru wake kutoka Uingereza. Siku hii haisherehekewi nchini Lakini ni siku muhimu sana kwa historia ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mapinduzi ya January 12, 1964 pengine yasingetokea kama Zanzibar haikupata Uhuru huu https://t.co/A0iTqhjVdh