Analyse @LusakoBosco's tweets
@LusakoBosco
| 32,323 followers
#SimamiaHaki #DemokrasiaYetu Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu miaka 70 tangu kuanzishwa kwake. Tanzania ni mmoja wa wanachama wa Human Rights. Ungana nao katika ukumbi wa british council posta dar, leo kuanzia saa 2:00-7:00 pia fuatilia mjadala kwenye social media https://t.co/wJHVdU9sic