Analyse @mmoja_mmoja's tweets
@mmoja_mmoja
| 4,240 followers
(1/4)
"Hamasa ya kuwa daktari alinipa mama. Chekechea tulikuwa tunaimba kila mtoto anataja kazi anayoipenda mfano daktari, mwalimu na nyingine. Nikirudi nyumbani nikimuimbia mama akawa anauliza: ukiwa daktari utafanya nini? Namjibu nitatibu wagonjwa." - (Muhimbili, Dar es Salaam) https://t.co/3YEpB35oZd