Analyse @Leyenda_vivien's tweets
@Leyenda_vivien
| 87,386 followers
Watanzania ni WAGUMU sana kwenye maswala ya kutetea na kusaka HAKI. Imagine this is the only population ya watanzania ambao wanapenda kushikamana na kutafuta haki. Ila humu mitandaoni tunaonekana tupo wengi. Inakatusha tamaa kwakweli hv tutapata KATIBA mpya kweli
#ChangeTanzania https://t.co/hYEl0P6dCr
#ChangeTanzania https://t.co/hYEl0P6dCr