Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Tumejumuika kwa mujibu wa Katiba ya JMT, 1977 Ibara ya 20 (1)
"Kila mtu anastahili kuwa huru, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani"
#SimamiaHaki #StandaUp4HumanRights https://t.co/Vtla13f3YY