Analyse @humanrightstz's tweets
@humanrightstz
| 107,614 followers
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda uhuru ketu wa kujieleza Ibara ya 18.(1) Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi.
#SimamiaHaki https://t.co/uVjz4VwaGy
#SimamiaHaki https://t.co/uVjz4VwaGy