Analyse @TibaFasta's tweets
@TibaFasta
| 22,415 followers
Wenzi wanaotembea, kimbia au kufanya mazoezi pamoja hawapati tu faida za kiafya kwa kuushughulisha mwili bali wanajenga ukaribu zaidi hivyo kuboresha mahusiano yao, kulingana na watafiti. #TibaFasta https://t.co/oWzkCJA8tA