Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Ninafuraha kuwa na watu muhimu Katika historia ya nchi yetu katika kupigania Demokrasia ya vyama vingi. Prof. Baregu, Antony Komu, Msafiri Mtemelwa na Bwana Mayunga. Hawa walikuwapo kwenye mkutano wa kwanza wa NCCR ( sio Chama bali Kamati ya Mageuzi ya Kisiasa ) @humanrightstz https://t.co/QVkAXMY1tF