Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
@eastafricatv @BankOfTanzania inasemekana kuwa Hivi sasa Benki Kuu kuna akiba ya fedha za Kigeni kutosha miezi 3 tu ya imports. Nov 2015 akiba ya Fedha za Kigeni ilikuwa inatosha miezi 4 ya kuagiza bidhaa. Serikali ya Awamu ya Tano ilirithi akiba hiyo tofauti propaganda kuwa hawakukuta fedha Benki Kuu.