Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
"Kumekuwepo na tatizo la kubambikizia watu kodi kupitia mfumo wa kukadiria kodi. Mtu ana biashara ndogo, anakadiriwa kodi kubwa, mwisho wa siku mtu anafunga biashara yake, sasa hapo TRA mmepata faida au hasara? Wengine hufunga biashara na kwenda kufungua upya."- Rais Dkt Magufuli https://t.co/iQqXltbWxl