Analyse @kwanza_tv's tweets
@kwanza_tv
| 108,216 followers
Katibu Mkuu wa CHAKAMWATA, Bw. Meshack Kapange amesema chama kinaipinga kanuni mpya ya mafao kwa sababu imepunguza malipo ya mkupuo, ametolea ufafanuzi akifananisha na mafao yao na yale ya wabunge na madiwani. 2/2. #KwanzaHabari https://t.co/KPvYVyzLWL