Analyse @daniel_marari's tweets
@daniel_marari
| 17,058 followers
Kwa mujibu wa Ibara ya 59 ya Katiba (kama ilivyorekebishwa mwaka 2005), sifa ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni kuwa na sifa ya uwakili kw muda usiopungua miaka 15. Kilangi amekuwa na sifa hii kwa miaka mingapi? Meanwhile, hongera sana @AdoShaibu & @fatma_karume?? https://t.co/3PQi4oo6W8