Analyse @HKigwangalla's tweets
@HKigwangalla
| 1,172,190 followers
Enyi ndugu zangu; licha ya kujenga utamaduni imara kabisa wa kupumzika, tujenge utamaduni wa kupumzika pia, tuingie gharama tusafiri, twende vijijini kwetu, twende kwenye hifadhi zetu asilia ama za majengo ya kale. Tufanye kitu tu. Tutumie pesa na familia na marafiki. Tupumzike! https://t.co/8aaiHvBqzN