Analyse @tanescoyetu's tweets
@tanescoyetu
| 131,213 followers
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililotokea leo Disemba 14, 2018 majira ya kumi jioni.
SABABU Ni hitilafu iliyotokea katika mfumo wetu wa gridi.
SABABU Ni hitilafu iliyotokea katika mfumo wetu wa gridi.