Analyse @JMakamba's tweets
@JMakamba
| 1,206,132 followers
Leo nimekuja kijijini kwetu Mahezangulu, Bumbuli, kumuunga mkono Mzee Makamba kuzindua Chuo cha Dini (madras) alichokijenga kwa ajili ya kinamama. Kwa wanaohitaji kupata thawabu kwenye jambo hili, fursa ipo. Tuwasiliane. https://t.co/IyQoN71kbi