Analyse @millardayo's tweets
@millardayo
| 2,591,736 followers
Inadaiwa nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib na Kelvin Yondani hawapo katika maelewano, nadaiwa Yondani amekasirika kuvuliwa unahodha na kocha Zahera Jan 4 2019 na kumpa Ajib, tukio la kutopeana mikono limetokea leo wakati wa utambulisho wa wachezaji hao kabla ya game #MillardAyoSPORTS https://t.co/or5nRkYGEI