Analyse @bongofive's tweets
@bongofive
| 460,783 followers
#Bongo5Updates Mbunge wa Kilombero (CHADEMA), Mhe. Peter Lijualikali ameliomba Bunge tukufu la Tanzania kuunda tume maalum ya kuchunguza kutekwa kwa @moodewji, kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Ben Saanane na kuuawa kwa kupigwa risasi kwa mwanafunzi Akwelina Aquiline. https://t.co/ET50BLra29