Analyse @eastafricatv's tweets
@eastafricatv
| 1,642,699 followers
#HABARI Mbunge wa Kigoma Mjini @ACTwazalendo @zittokabwe ametoka kwenye ukumbi wa Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kumuomba awapishe wabunge waendelee na kikao kutokana na kupiga kelele za kulalamika bungeni, jijini Dodoma leo https://t.co/BPNPEXRID1