Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Chanjo ya Polio ya Sindano/Inactivated Polio Vaccine (IPV) ni chanjo inayotolewa kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa Polio unaoambukizwa na virusi vijulikanavyo polio virus. Ni nyongeza ya udhibiti wa polio hutolewa kwa mtoto anapofikisha wiki 14. #JiongezeTuwavusheSalama https://t.co/lMQWupY64F