Analyse @darmpya_'s tweets
@darmpya_
| 402,150 followers
Polisi wamemkamata Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano na Umma wa @ACTwazalendo, Ndugu @AdoShaibu na viongozi wengine wa Chama wakati wakifungua Matawi ya Chama hicho katika kata ya Azimio, Jimbo la Temeke, Dar es Salaam. https://t.co/st7s7uOOrG