Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Choo cha dhahabu (karati 18) chenye thamani zaidi ya TZS 11.5 bilioni kimeibwa katika jumba la kifahari la Blenheim (Palace) nchini Uingereza, jana Septemba 14. Choo hicho kinachoitwa America kiliwekwa na Msanii Maurizio Cattelan, raia wa Italia, kikiwa ni sehemu ya maonesho. https://t.co/o7qcTa3rXS