Analyse @jchakutema's tweets
@jchakutema
| 17,928 followers
Vijana tuongeze bidii ya kutafuta maarifa na ujuzi mpya katika kile tunachofanya. Kwa ushauri wa kilimo hasa mbogamboga na ufugaji pamoja na miongozo mbalimbali ya kilimo nifuate @jchakutema hapa Twitter.
#GainWithMasanjaAndJoti https://t.co/2m4ywHA3hu
#GainWithMasanjaAndJoti https://t.co/2m4ywHA3hu