Analyse @lifeofmshaba's tweets
@lifeofmshaba
| 416,678 followers
Kwa kadri matumizi ya gas yanavyoongezeka majumbani ni muhimu kuongeza elimu ya matumizi ya gasi, Kampuni zinazo sambaza gasi zinawajibu ( CSR) kuelimisha jamii kuhusu bidhaa hii.. gasi ni salama kama kuna uelewa wa matumizi ya iki ni pamoja na kutambua uchakavu wa vifaa https://t.co/0W29BefS9b