Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Mtanzania @GIVENALITY ametajwa miongoni mwa wabunifu 30 wa Afrika 2019 wanaoongoza kuleta mabadiliko. Given ameunda @MtabeApp inayojibu maswali ya wanafunzi bila wao kuhitaji intaneti. Wanafunzi wanatuma maswali kupitia namba maalum, & watapatiwa majibu yaliyohakikiwa na waalimu. https://t.co/190KSlxiwb