Analyse @SeifSharifHamad's tweets
@SeifSharifHamad
| 154,724 followers
Utawala uliopo umewaangusha Watanzania na umeyafanya maisha yao kuwa magumu zaidi kuliko hata ilivyokuwa 2015. @ACTWazalendo tumedhamiria kuleta Mabadiliko kwa kukupa Mbadala Makini na Halisi kuanzia kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. UNGANA NASI KWA KUTUCHANGIA! https://t.co/i0f2B155nx