Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
Tabia 5 zinazoumiza FIGO zako
1. Kutokunywa maji ?ya kutosha
2. Kupenda chumvi nyingi kwenye chakula
3. Sigara/tumbaku/shisha ?
4. Ulevi wa pombe ?
5. Kutumia dawa za kutuliza maumivu aina ya aspirin mara kwa mara ?
#FridayFeeling https://t.co/eHxcZaECNv
1. Kutokunywa maji ?ya kutosha
2. Kupenda chumvi nyingi kwenye chakula
3. Sigara/tumbaku/shisha ?
4. Ulevi wa pombe ?
5. Kutumia dawa za kutuliza maumivu aina ya aspirin mara kwa mara ?
#FridayFeeling https://t.co/eHxcZaECNv