Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Leo tunazindua ripoti ya Utafiti juu ya Changamoto zinazowakabili wasichana na kupelekea kukatiza masomo au kushindwa kutoka ngazi moja ya elimu kuelekea nyingine. Tafadhali fuatilia hapa kufahamu yaliyojiri #OndoaVikwazoAsome https://t.co/YZHUj48VJR