Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Kama taifa tunajivuna kuwa na uwiano wa 1:1 kati ya wavulana na wasichana shuleni na wakati mwingine wasichana wengi wameandikishwa kuliko wavulana - Dr. John Kalage ,Mkurugenzi wa HakiElimu katika salamu za ufunguzi wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti #OndoaVikwazoAsome https://t.co/1WjGjuDQMc