Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ndg. Leonard Akwilapo akizundua ripoti ya utafiti wa elimu msingi wa wasichana Tanzania unaobainisha changamoto zinazosababisha wasichana kukatisha masomo & kushindwa kuendelea kielimu kutoka ngazi moja kwenda nyingine https://t.co/fBhnccxVO5