Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Faraja Nyalandu kutoka @shuledirect Lazima tafiti zetu ziende mbali tunaweza kusema umbali ni changamoto kwa wasichana kumbe kiundani wenyewe wanafurahia kama binadamu kamili, mimi nimehojiana na mabinti wengi na wakasema wanafurahia wanapoambiwa umependeza wanapopigiwa miruzi https://t.co/M8ikPvvqQS