Analyse @HakiElimu's tweets
@HakiElimu
| 156,645 followers
Sisi sote na mifumo tuliyoitengeneza imehusika kubomoa UMOJA kitu ambacho ni muhimu sana katika malezi na makuzi ya watoto haswa wa kike zamani mtoto alikuwa ni wa jamii ila mtoto wa sasa ni wa baba na mama, lazima turudishe UMOJA https://t.co/Tk88pGuTj6