Analyse @zittokabwe's tweets
@zittokabwe
| 1,696,293 followers
Katibu wa @ActWazalendo Mkoa wa Kigoma Ndg. Juma Ramadhan aliamua kuwakumbusha watazamaji wa mechi ya Simba na Mashujaa kuwa waende kujiandikisha katika orodha ya wakazi wa Mitaa yao ili kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa. Leo Wakundu wa Msimbazi Simba walikuwa Kigoma https://t.co/iaz4rtdhXu