Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
UNAWEZA ANZA SIKU KWA MAJI YENYE NDIMU
Husaidia
?Kuongeza maji mwili
?Uwezo wa mwili kuchoma mafuta
?Ina phytonutrients ambazo huulinda mwili dhidi ya magonjwa
?Nusu limao hukupa 1/6 ya kiwango cha vitamin C kwa siku muhimu kwa ngozi,kinga
?Husaidia kuzuia mawe kwenye figo https://t.co/c4untoAaCY