Analyse @darmpya_'s tweets
@darmpya_
| 402,150 followers
"Kama kweli polisi wamemzuia @zittokabwe kufanya mkutano jimboni kwake ni kosa kubwa na linawapa nguvu wapinzani kuwa nchi yetu ni ya kidikteta kitu ambacho ni hatari sana. Polisi wasikwepe wajibu wao wa kulinda amani ya nchi wakisingizia taarifa za kiintelijensia' 'Afande Sele https://t.co/L9AEGpIo7g