Analyse @moodewji's tweets
@moodewji
| 2,022,214 followers
Nafurahi sana kumkaribisha RC wetu, Mnyama mwenzangu PAUL MAKONDA kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Simba akiwa kama Mshauri Mkuu (Senior Advisor). Karibu kaka. Pamoja tutajenga Simba bora zaidi! Hongera kwa uteuzi ?? https://t.co/lfKbaEZA9K