Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
#AfyaKazini |Kutokana na kazi watu wengi wanasumbuliwa na maumivu ya migongo,shingo+kichwa kwa sababu ya UKAAJI MBAYA
? Ukikaa umejipinda muda mrefu unaumiza misuli ya shingo +mgongo hivyo jitahidi kunyooka
?Pia jipe mapumziko kila baada ya saa kwa kusimama
#ElimikaWikiendi https://t.co/7Dql5ipeMd