Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
#AfyaUzazi | Kwa kawaida mwanaume akilala uume husimama mara 3 hadi 5 kwa usiku mzima akiwa usingizini.
? Uume kusimama usingizini huweza kutumika kupima chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume ni sababu za kifiziolojia vs sababu za kisaikolojia?
#ElimikaWikiendi https://t.co/sIK702Cedj