Analyse @fatma_karume's tweets
@fatma_karume
| 1,097,280 followers
@tanpol hamna MAMLAKA ya kuzuia MIKUTANO ya wananchi. Kama hamuwezi KULINDA wananchi tarehe hiyo WAJIB wenu ni kutoa tarehe nyingine. Kama hamuwezi kulinda WANANCHI WAKIKUTANA, IGP ajiuzuru kabisa! Maana ana wajib wakutulinda ili TUKUTANE! https://t.co/e0mXAO4F9m