Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Urafiki ni kitu muhimu kwa afya zetu. Urafiki mzuri una faida nyingi kwa mtu kama kuongeza furaha, kujiamini, kujithamini na kupunguza kiwango cha mkazo (stress) kinachoweza kusababisha uwe na sonona (depression). #ElimikaWikiendi https://t.co/q9yfDxalOn