Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Waswahili husema nioneshe marafiki zako nikuambie tabia zako. Hii ina maana watu tunaotumia nao muda mwingi hufanya tabia zao kuwa zetu. Sasa kama una marafiki walevi au wavuta tumbaku vitu vinavyoathiri afya nawe kuna uwezekano wa kuwa hivyo. #ElimikaWikiendi https://t.co/Mzm8EewYGG