Analyse @swahilitimes's tweets
@swahilitimes
| 1,408,140 followers
Mtanzania Andron Mendes (wa kwanza kushoto) ameingia katika orodha ya mabilionea wapya nchini, baada ya kuuza teknolojia yake aliyobuni ya KopaGas kwa TZS Bilioni 57.5. Mendes & mshirika wake toka Mexico Dkt Sebastian Rodriguez wameuza teknolojia hiyo kwa Circle Gas ya Uingereza. https://t.co/uBzHDymozq