Analyse @MSalimu's tweets
@MSalimu
| 69,354 followers
Jamii zetu, zimekuwa zikiendeshwa na mfumo dume, uliotengeneza dhana ya kuwa mwanamme ni shupavu, mwenye nguvu n.k dhana hiyo, imefanya, ukatili, hasa kupiga kuwa namna ya kuonyesha ushupavu na nguvu za mwanaume.
#ElimikaWikiendi https://t.co/oRbLvTomWl
#ElimikaWikiendi https://t.co/oRbLvTomWl