Analyse @ChademaMdude's tweets
@ChademaMdude
| 157,756 followers
Huwezi kufanikiwa kwenye siasa kama umekosa political tolerance.Wanasiasa wengi wakigombea nafasi wakikosa wanaona solution ni kuhama vyama ili kutimiza ndoto zao,mwisho wanapotea. Na mtu aliyekosa political tolerance huongozwa na hasira kitu ambacho ni kibaya sana kwenye siasa. https://t.co/zARzfPYSpa