Analyse @DrMabula's tweets
@DrMabula
| 347,876 followers
Ugonjwa wa sikoseli (selimundu) ni ugonjwa wa mfumo wa damu unaosababisha chembe nyekundu za damu kuwa na umbo lisilo la kawaida hivyo kuathiri utendaji wake mzuri kama kusafirisha hewa safi. Tarehe 21/01/2020 upimaji utakuwa bure Hospitali ya Mwananyamala. Mwambie na mwingine. https://t.co/3dERPCsiU2