Analyse @jmkikwete's tweets
@jmkikwete
| 1,786,280 followers
Nimeitikia wito wa Serikali na Mhe Rais @MagufuliJP wa kusajili laini za simu kabla ya tarehe 20 Januari, 2020. Nimekamilisha kwa kusajili laini yangu ya mwisho leo. Namshukuru Obrien kutoka @Tigo_TZ kwa kunisajili. Nawahimiza na wengine kufanya hivyo kwai siku zimebaki chache. https://t.co/bZzqyn7F21