Analyse @Hakingowi's tweets
@Hakingowi
| 443,082 followers
Rais Mstaafu wa awamu ya 4, Dkt. @jmkikwete leo Januari 18, 2020 amesajili laini yake kwa njia ya kieletroniki, huku akiwahasa Watanzania wengine kujitokeza kushiriki zoezi hilo, kwa kuwa mwisho ni Januari 20, 2020.
?Mpaka sasa zimebaki siku 2. https://t.co/WnDMX8KNfw
?Mpaka sasa zimebaki siku 2. https://t.co/WnDMX8KNfw