Analyse @earadiofm's tweets
@earadiofm
| 1,227,363 followers
#VIDEO Alichokisema Mbunge wa Kigoma Mjini @zittokabwe kuhusu kuzuiliwa kwa Mkutano wake na Jeshi la Polisi kwa sababu za kiusalama.Mkutano huo ulitakiwa kufanyika Januari 17, 2020. kwenye Viwanja vya Mwanga Center Mjini Kigoma. https://t.co/z9gupBqqWY