Analyse @isaya_lameck's tweets
@isaya_lameck
| 26,602 followers
Siku nimeenda Dar, wakaniambia chakula kiko kwenye hot pot, nikicheki hotpot lenyewe kwetu tunawekea mboga na humo ndo wameweka ugali, basi mi nkafunika ugali wote na mboga nkala. Ile nimemaliza kula niko zangu sebuleni nikaona watu wawili nao wanakuja na sahani kupakua....Aisee https://t.co/cRQoGlOA2L