Analyse @NormanJonasMD's tweets
@NormanJonasMD
| 32,103 followers
Tukumbushane kidogo kuhusu KIHARUSI (Stroke)?
?Tatizo la dharura la kiafya ambalo ni moja ya magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo.
? Mitindo ya maisha na Lishe ni vitu vinavyochangia idadi ya wagonjwa wanaopata stroke kuongezeka
?Kiharusi huacha ulemavu au kifo https://t.co/MgNdBuSNLg