Analyse @lifeofmshaba's tweets
@lifeofmshaba
| 416,678 followers
“Mwongozo wa mwaka 2009 uliweka mazingira mazuri ya namna mtoto wa kike anavyoweza kuendelea na masomo baada ya kujifungua, mfano kifungu cha 2(1) “mwanafunzi anapaswa kurudi shule baada ya miezi 6 hadi 12 baada ya kujifungua”. @KumbushoDawson #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi https://t.co/97e7frsAZC